Kuomba dua dhidi ya adui

Ewe Mwenyezi Mungu, Mteremshaji wa kitabu, Mwepesi wa kuwahesabu (waja wako), vishinde vikosi. Ewe Mwenyezi Mungu, washinde na watetemeshe.

API