Kumkumbuka Mwenyezi Mungu wakati wa kuipanda milima na wakati wa kushuka

Imepokelewa kutoka kwa Jaabir (r.a) amesema: Tulikuwa tukipanda mlima tunasema; ''Mwenyezi Mungu ni Mkubwa'' Na tukishuka tunasema: ''Ametakasika Mwenyezi Mungu.''

API