Dua ya kuchukia ndege mbaya

Ewe Mwenyezi Mungu hapana ndege mbaya ila ndege wako, na hapana kheri ila kheri yako, na hapana apasae kuabudiwa kwa haki asiyekuwa Wewe.

API