Dua ya siku ya arafah

Bora ya dua ni dua ya siku ya Arafah, na bora ya (maneno) niliyoyasema mimi na Mitume kabla yangu ni: '' Hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu hali ya kuwa peke yake hana mshirika wake, ni wake Ufalme, na ni zake sifa njema, naye juu ya kila kitu ni Muweza.''

API