Dua ya wasiwasi usingizini au kusikia uoga na mfazaiko

'Najilinda na maneno ya Mwenyezi Mungu yaliyotimia kutokana na hasira zake, na adhabu yake, na shari ya waja wake, na vioja vya shetani na kuniijia kwao.''

API