Anachosema muislamu akimsifu muislamu mwenziwe

Iwapo hakuna budi kwa mtu kumsifu mwenzake basi aseme: 'Namdhania fulani kuwa kadha na kadha..., na Mwenyezi Mungu ndiye atakae muhesbu wala simtakasi kwa Mwenyezi Mungu yeyote.'

API