Dua ya kupiga chafya (kuchemua)

Atakapochemua (atakapo piga chafya) mmoja wenu aseme: ''Alhamdulillah'' ''Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu.'' Mwenzake amwambie: ''Yarhamka LLaah'' ''Mwenyezi Mungu akurehemu.'' Kisha naye amjibu: ''Akuongoze Mwenyezi Mungu na akutengenezee mambo yako.''

API