Dua ya kuomba mvua

Ewe Mwenyezi Mungu tunyeshelezee mvua yenye kuokoa, nyingi, yenye kustawisha, yenye manufaa isiyodhuru, ya harakaisiyochelewa.

Ewe Mwenyezi Mungu, tuokoe kwa kututeremshia mvua, Ewe Mwenyezi Mungu, tuokoe kwa kututeremshia mvua, Ewe Mwenyezi Mungu, tuokoe kwa kututeremshia mvua.

Ewe Mwenyezi Mungu wanyeshelezee waja wako, na wanyama wako, na eneza rehema zako, na fufua nchi yako iliyokufa.

API