Pongezi ya kupata mtoto, na jawabu lake

Mwenyezi Mungu akubariki katika ulichopewa na umshukuru aliyekupa, na afike kuwa mkubwa, na uruzukiwe wema wake. Na aliyepongezwa atamuombea aliyempongeza kwa kumwambia: ''Mwenyezi Mungu akubariki na ateremshe baraka juu yako, na Mwenyezi Mungu akujaze kheri, na Mwenyezi Mungu akuruzuku mfano wake, na afanye nyingi thawabu zako.''

API