Dua ya wakati wa kufungua swaumu

Kiu kimeondoka, na mishipa imelainika, na yamethibiti malipo Mwenyezi Mungu akipenda.

Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi nakuomba kwa rehema zako ambazo zimeenea kila kitu, unisamehe. (Imepokewa kutoka kwa Abdillahi bin Amr bin Al-Ass (r.a) amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w): ''Aliyefunga wakati wa kufuturu kwake, ana dua isiyorudishwa.'')

API