Dua za kikao kati ya sijda mbili

Mola nisamehe, Mola nisamehe.

Ewe Mwenyezi Mungu nisamehe, na unirehemu, na uniongoze, na uniungie (uniunge), na unipe afya, na uniruzuku, na uniinue.

API