Dua unayomuombea uliyemtukana

Imepokewa kutoka kwa Abuu Hurayra (r.a) amemsikia Mtume (s.a.w) akisema: ''Ewe Mwenyezi Mungu, kwa muislamu yeyote niliyemtukana, basi fanya kwa hilo litakalomkurubisha kwako, (ni thawabu kwake) siku ya Kiyama.''

API