Dua ya kuingia Msikitini

Najilinda kwa Mwenyezi Mungu aliye Mtukufu, na kwa uso wake mtakatifu, na kwa utawala wake wa kale, kutokana na shetani aliye laaniwa, (kwa jina la Mwenyezi Mungu, na rehma na amani zimfikie Mtume wa Mwenyezi Mungu), Ewe Mwenyezi Mungu nifungulie milango ya rehema zako.

API