Dua baada ya kula

Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu ambae amenilisha mimi chakula hiki na akaniruzuku pasina uwezo wangu wala nguvu zangu.

Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu, sifa nyingi nzuri, zenye baraka ndani yake, zisizo toshelezwa, wala kuagwa wala kutoshwa (kutosheka) nazo mtu, Ewe Mola wetu.

API