Dua unayo muombea aliyevaa nguo mpya

Itakwisha (kwa kuzeeka na kupasuka) Na Mwenyezi Mungu atakupa nyingine

Vaa nguo mpya, na ishi hali ya kuwa ni mwenye kushukuru na kufa hali ya kuwa ni shahidi.

API