Dua ya kumhani aliyefiwa

Kwa hakika nicha Mwenyezi Mungu alichokichukua, na ni chake alichokitoa, na kila kitu kwake kina muda maalum. ....(Kisha Mtume (s.a.w) akamwambia): Basi vumilia na taka malipo kwa Mwenyezi Mungu. Na akisema: ''Mwenyezi Mungu ayafanye mengi malipo yako, na akufanye kuzuri kutaaziwa (kuhaniwa) kwako, na amsamehe maiti wako. ......Basi ni bora.

API