Dua ya kumfukuza shetani na wasiwasi wake

Mambo yafuatayo yanatakiwa kufuatwa pindi anapotolewa shetani: ''Kumuomba Mwenyezi Mungu akuhifadhi nae''.

Kumuadhinia.

Kusoma nyiradi zilizopokewa kutoka kwa Mtume (s.a.w) na kusoma Qur,ani.

API