Anachosema anaeogopa kupatwa na kijicho

Akiona mmoja wenu kwa ndugu yake, au kwake, au mali yake, kinachomfurahisha, akiombee baraka, kwani kijicho ni kweli. (Kwa kusema: ''Ewe Mwenyezi Mungu mbariki kwa hicho.'' ....Au aseme: ''Haya ndiyo Mwenyezi Mungu aliyoyataka, hakuna nguvu ila za Mwenyezi Mungu.''

API