Utajo katika mash-arul haram (muzdalifa)

Amesema Jaabir (r.a) kwamba: ''Mtume (s.a.w) alimpanda Al-Qaswa (jina la ngamia wake) mpaka alipofika Mash'arul Haram (huko Muzdalifah), kisha akaelekea Qiblah, akamuomba Mwenyezi Mungu, akaleta Takbira (akamtukuza), akaleta Tahliil (akamsifu), na akampwekesha. Hakuacha kusimama mpaka kulipo pambazuka ndipo alipoondoka, kabla ya kutoka jua.''

API