Anachosema muislamu akisifiwa

Ewe Mwenyezi Mungu usinichukulie kwa yale wanayoyasema, na unisamehe kwa yale wasiyoyajua, (na unifanye bora kuliko wanavyo nifikiria).

API