Dua ya aliyepatwa na msiba

Sisi ni wa Mwenyezi Mungu nasi kwake tutarejea, Ewe Mwenyezi Mungu nilipe kwa msiba wangu, na unipe badili yake bora kuliko huo.

API