Dua ya kumfunga macho maiti

Ewe Mwenyezi Mungu msamehe- (jina la maiti)- na lipandishe daraja lake katika walio ongoka, na weka badili yake kwa aliyoyaacha nyuma, na utusamehe sisi na yeye Ewe Mola wa viumbe vyote, na umkunjulie yeye katika kaburi lake na umtilie mwangaza ndani yake.

API