Dua ya kwenda Msikitini

Ewe Mwenyezi Mungu, weka katika moyo wangu nuru, na katika ulimi wangu nuru, na katika masikio yangu nuru, na katika macho yangu nuru, na juu yangu nuru, na chini yangu nuru, na kuliani kwangu nuru, na kushotoni kwangu nuru, na mbele yangu nuru, na mbele yangu nuru, na nyuma yangu nuru, na weka katika nafsi yangu nuru, na nifanyie kubwa nuru, na nifanyie nyingi nuru, na uniwekee mimi nuru, na unifanye mimi nuru, Ewe Mwenyezi Mungu nipe nuru, na uweke katika mishipa yangu nuru, na katika nyama yangu nuru, na katika damu yangu nuru, na katika nywele zangu nuru, na katika ngozi yangu nuru, (Ewe Mwenyezi Mungu niwekee nuru katika kaburi langu, na nuru katika mifupa yangu) (na unizidishie nuru, na unizidishie nuru, na unizidishie nuru) (na unipe nuru juu ya nuru).

API