Dua unapojigeuza kutoka usingizini usiku

Hapana Mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu Mmoja aliyeshinda, Mola wa mbingu na ardhi na vilivyo kati yake, Aliyetukuka Mwingi wa msamaha.

API