Dua anayoomba mwenye kumuona kilema

Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu ambae ameniepusha na kile alichokupa mtihani, na akanifanya mimi kuwa bora kuliko wengi miongoni mwa aliowaumba.

API