Dua baada ya kumzika maiti

Ewe Mwenyezi Mungu mfanye awe thabiti. Mtume (s.a.w) alikuwa akimaliza kuzika anasimama mbele ya kaburi kisha ansema: Muombeeni msamaha kwa Mwenyezi Mungu ndugu yenu na muombeeni kuthibitishwa kwani hivi sasa anaulizwa.

API