Dua ya mgeni kwa aliyemkaribisha chakula

Ewe Mwenyezi Mungu wabariki katika ulichowaruzuku na uwasamehe na uwarehemu.

API