Dua ya upepo mkali

Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi nakuomba kheri ya upepo huu, na na najikinga kwako na shari yake.

Ewe Mwenyezi Mungu nakuomba kheri yake na kheri ya kilicho ndani yake, na kheri ya uliyoituma ndani yake, na najikinga kwako kutokana na shari yake, na shari iliyoko ndani yake, na shari iliyotumwa nao.

API