Dua wakati wa kusikia mlio wa mbwa usiku

Mkisikia mlio wa mbwa na wa punda usiku, basi mtakeni hifadhi Mwenyezi Mungu kwani wao wanaona msiyoyaona.

API