Anachosema mtu iliyemjia habari ya kufurahisha au kusikitisha

Alikuwa Mtume (s.a.w) ikimjia habari ya kufurahisha akisema: ''Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu ambae kwa neema yake yanatimia mambo mema.'' Na ikimjia habari ya kusikitisha husema: ''Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu kwa hali zote.''

API