Takbira atakapofika katika hajar al-as'wad (katika alkaaba)

Mtume (s.a.w) alitufu (kuzunguka Al-Kaabah) (akiwa) juu ya ngamia, kila anapofika katika Hajaril-As'wad (jiwe jeusi) alikuwa anaashiria kwa fimbo yake, na kusema: ''Mwenyezi Mungu ni Mkubwa.''

API