Dua baada ya salamu katika swala ya witri

'Ametakasika Mwenyezi Mungu, Mfalme, Mtakatifu,'' (Mara tatu). Na mara ya tatu anaisoma kwa sauti kubwa na kwa kuivuta. ''Ewe Mola wa Malaika na wa Jibril.''

API