Dua ya ambae limekuwa gumu kwake jambo

Ewe Mwenyezi Mungu hakuna jepesi ila ulilolifanya jepesi, nawe unalifanya gumu (kuwa) jepesi ukitaka.

API