Anachosema na kufanya anaposikia maumivu mwilini

Weka mkono wako juu ya sehemu inayokuuma na kisha useme: ''Kwa jina la Mwenyezi Mungu. (mara tatu). Kisha useme mara saba: ''Najilinda kwa Mwenyezi Mungu na kwa uwezo wake kutokana na shari ya ninachokisikia na ninachokiogopa.''

API