Dua ya anaekutana na adui au mwenye kutawala

Ewe Mwenyezi Mungu hakika sisi tunakufanya Wewe uwe katika vifua vyao, na tunajikinga kwako na shari zao.

Ewe Mwenyezi Mungu Wewe ndie msaidizi wangu, nawe ndie mnusuru wangu (mwenye kuninusuru), kwako ninazunguka na kwako ninavamia, na kwako ninapigana.

Mwenyezi Mungu ananitosheleza, nae ni mbora wa kutegemewa.

API