Dua ya kutoka nyumbani

Kwa jina la Mwenyezi Mungu (ninatoka), ninamtegemea Mwenyezi Mungu, na hapana uwezo wala nguvu ila vyote vinatokana na Mwenyezi Mungu.

Ewe Mwenyezi Mungu najilinda kwako kutokana na kupotea au kupoteza, au kuteleza au kumtelezesha mtu, au kudhulumu au kudhulumiwa, au kuwa mjinga au kufanywa mjinga.

API