Dua za sijda ya kisomo

Umesujudu uso wangu kumsujudia yule aliyeuumba na akaupasua usikizi wake na uoni wake kwa uwezo wake na nguvu zake, ametakasika Mwenyezi Mungu mbora wa waumbaji.

Ewe Mwenyezi Mungu niandikie kwako kwa sijda hii malipo, na nifutie kwayo madhambi, na ijaalie kwangu mbele yako ni akiba, na nikubalie kama ulivyomkubalia mja wako Daud.

API