Dua ukisikia mlio wa jogoo au wa punda

Amesema Mtume (s.a.w): ''Mkisikia mlio wa jogoo muombeni Mwenyezi Mungu fadhila zake kwani huwa amemuona Malaika, na mkisikia mlio wa punda basi takeni hifadhi kwa Mwenyezi Mungu kwani huwa amemuona shetani.''

API