Dua ya kutaka mvua iondoke (wakati itakapoleta madhara)

Ewe Mwenyezi Mungu inyesheleze kwa watu wala isiwe yenye kutuangamiza, Ewe Mwenyezi Mungu inyesheleze kwenye vichaka na milima, na mabonde, na kwenye mizizi ya miti.

API