Anachosema wakati wa kuchinja

Kwa jina la Mwenyezi Mungu, na Mwenyezi Mungu ni Mkubwa, Ewe Mwenyezi Mungu huyu (mnyama) anatoka kwako na ni wako, Ewe Mwenyezi Mungu nikubalie.

API