Vipi alikuwa Mtume (s.a.w) akimsabbih Mwenyezi Mungu?

Imepokewa kutoka kwa Abdallah bin Amru (r.a) amesema: 'Nilimuona Mtume (s.a.w) anahesabu kumsabbih Mwenyezi Mungu kwa mkono wake wa kulia.'

API