Dua ya kuzuru makaburi

Amani ishuke juu yenu watu wa nyumba za waumini na waislamu, nasi apendapo Mwenyezi Mungu, tutakutana nanyi, tunamuomba Mwenyezi Mungu atusamehe sisi na nyinyi, (na Mwenyezi Mungu, awarehemu wa mwanzo na mwisho) namuomba Mwenyezi Mungu atupe sisi na nyinyi afya njema.

API