Dua ya wakaazi wanayo muombea anaesafiri

Naweka amana kwa Mwenyezi Mungu dini yako na uaminifu wako na mwisho wa matendo yako.

Mwenyezi Mungu akuzidishie ucha Mungu, na akusamehe madhambi yako, na akufanyie wepesi katika kheri popote ulipo.

API