Kumuombea dua anaekuombea msamaha kwa Mwenyezi Mungu

Imepokewa kutoka kwa Abdillahi bin Sajis (r.a) amesema: Nilimjia Mtume (s.a.w) nikala katika chakula chake, kisha nikamwambia: ''Mwenyezi Mungu akusamehe Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu.'' Akaniambia: ''Nawe akusamehe.''

API