Vipi ataleta talbiyah aliyehirimia kwaajili ya hijjah au umrah

Nimekuitikia Ewe Mwenyezi Mungu nimekuitikia, nimekuitikia huna mshirika wako nimekuitikia, hakika sifa njema, na neema na Ufalme, ni vyako, huna mshirika wako.

API