Dua ya kuingia sokoni

Hakuna mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu hali ya kuwa peke yake hana mshirika, ni wake Ufalme, na ni zake sifa njema, anahuisha na anafisha, nae ni hai asiyekufa, kheri iko mikononi mwake, na Yeye juu ya kila litu ni Muweza.

API