Dua ya aliyealikwa chakula lakini akawa amefunga

Akialikwa mmoja wenu aitikie wito, akiwa amefunga basi awaombee dua, na kama hakufunga basi ale.

API