Dua ya aliyepatwa na shaka katika imani yake

Atataka (aombe) hifadhi kwa Mwenyezi Mungu. Aondoe kile kitu alicho kifanyia shaka.

Aseme: ''Nimemuamini Mwenyezi Mungu na Mitume wake.

Asome aya hii katika Qur'an:- {Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho, naye ndiye wa Dhaahiri na wa Siri, naye ndiye Mjuzi wa kila kitu}. (Suratul-Hadiid: 3).

API