Analosema aliyefanya dhambi

Hakuna mja yeyote yule anaefanya dhambi kisha akatawadha vizuri na akaswali rakaa mbili, kisha akamtaka Mwenyezi Mungu msamaha ila atasamehewa.

API