Dua anayoomba bwana harusi, au aliyenunua chombo cha kupanda (kama mnyama au gari)

Ewe Mwenyezi Mungu, hakika mimi nakuomba kheri ya (mke) huyu, na kheri ya maumbile uliyo muumba nayo, na najilinda kwako na shari yake, na shari ya maumbile uliyo muumba nayo, Na akinunua mnyama atamshika kichwa chake kisha atasoma dua hiyo.

API